Recent Posts

HELIKOPTA YAANGUKA DAR, WATU WANNE WAFA KATIKA AJALI HIYO.

Helikopta inayomilikiwa na Wizara ya Maliasili na
Utalii,
yenye namba 5HTWA imeanguka leo katika eneo la
Kipunguni B, Ukonga Dar es salaam.

Kupitia kituo cha televisheni cha ITV Kamishna wa
Jeshi
la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
Suleiman Kova amethibitisha kutokea kwa tukio
ambapo imeelezwa kuwa Ajali hiyo ya Helicopter ya
Maliasili na Utalii
imegharimu maisha ya marubani 3 wa Jeshi la
Polisi Tanzania ambao waliweza kufahamika kuwa ni:
Sp Kidai Kaluse , Insp. Simba Must Simba ,
Pc. Josso Selestine , Na rubani
mmoja  Capt Khalfan .
Uchunguzi unaendelea ambapo chanzo cha ajali hiyo
bado
hakijajulikaa mpaka sasa.

Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali
pema peponi..Amen.

HELIKOPTA YAANGUKA DAR, WATU WANNE WAFA KATIKA AJALI HIYO. HELIKOPTA YAANGUKA DAR, WATU WANNE WAFA
KATIKA AJALI HIYO. Reviewed by Unknown on 09:19 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.