Shirika la Madaktari wasio na mipaka, MSF
limetangaza kufanya majaribio ya tiba mpya ya Ebola
katika vituo vitatu Afrika Magharibi.
Kwa mujibu wa taarifa zaidi ni kwamba wafanyakazi wa shirika hilo watatumia dawa za aina
mbili zilizoainishwa na Shirika la Afya duniani, WHO.
#Fahamu kuwa Sababu ya kufanyika kwa majaribio hayo ni
kuwafanya Wagonjwa kuendelea kuwa hai wakati
wa siku 14 za mwanzo tangu wanapopata maambukizi ya
ugonjwa huo.
Taarifa hii imekuja wakati idadi ya waliopoteza
maisha kutokana na ugonjwa Ebola imefikia a 5,160.
MATUMAINI YA TIBA YA EBOLA!!
Reviewed by Unknown
on
22:19
Rating:
No comments: