Recent Posts

FAHAMU ALICHO KIANDIKA MARTIN KADINDA INSTAGRAM BAADA YA KUANDAMWA KUWAACHANISHA WEMA NA DIAMOND

Baada ya tetesi kuzagaa mitaani na kwenye magazeti ya udaku kuwa kikulacho cha mapenzi ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu kiko karibu yao na kudaiwa kuwa chanzo cha kimya kimya ni Martin Kadinda ambaye ni Meneja wa staa wa filamu  Wema Sepetu  na hii ni baada ya ukaribu wao kuzua utata na kufuatiwa na picha ambazo wamekuwa wakipiga katika mapozi ya kimahusiano.

Hivi karibuni baada ya taarifa za kuachana kwa Diamond na Wema Star wa ngoma ya Mdogomdogo Diamond Platnumz alihojiwa kwenye XXL ya CloudsFM kuhusu jambo hilo
lakini hakuweka wazi kinacho
endelea lakini maelezo aliyoyatoa yanaweza
yakawa na ishara ya jibu linakoelekea ambapo moja kati ya vitua livyovisema ni kwamba hata yeye alishangaa
kuhusu ile zawadi ya gari aina ya BMW
aliyozawadiwa Wema kwenye birthday yake huku
meneja wake Martin akikaririwa na vyombo vya
habari kwamba ni marafiki walijichanga kumnunulia
Wema.

Baada ya hayo kuna baadhi ya stori
zimekua zikitambaa kwamba Martin Kadinda ndio
amehusika kuwaachanisha Diamond na Wema
Sepetu ambapo yeye kama yeye aliamua kujibu hayo kupitia acount yake ya Instagram kwa kuandika hivi:

Siwezagi kujibizana.. Ila i
gat people who can do that…. Namleta kwenu
bingwa wa kutusi watu… Mimi nimemwachanisha
wema na chibu ahahahahahaa ahahhahahaha
ahahahahaha walaaahi naona raha.. We Nasri that
powerful couple ambayo haijawahi kutokea tz na
haitakuja kutokea iachanishwe na mimi fundi
makoti?? Team kadinda mpeni what he deserve…..’

Nini Maoni yako hapo!

FAHAMU ALICHO KIANDIKA MARTIN KADINDA INSTAGRAM BAADA YA KUANDAMWA KUWAACHANISHA WEMA NA DIAMOND FAHAMU ALICHO KIANDIKA MARTIN KADINDA INSTAGRAM BAADA YA KUANDAMWA KUWAACHANISHA WEMA NA DIAMOND Reviewed by Unknown on 08:10 Rating: 5

4 comments:

  1. Kawaida mbona unalinda bagamoyo watu wanakwea kigamboni mapenzi bahari

    ReplyDelete
  2. Hizo kiki mjini hapa shamba la wasaniiskendo caz xo muda watarudiana!

    ReplyDelete
  3. Njoo kwangu Diamond tucheze mdogo mdogo!

    ReplyDelete
  4. Ya nini sasa hayo Admin

    ReplyDelete

Powered by Blogger.