Show ya Weusi Ya Funga Mwaka iliyopangwa
kufanyika Mbeya imehirishwa baada ya kifo cha
Rapper Gez Mabovu.
Nikki Wa Pili kama msemaji wa kundi ametoa
ujumbe huu kupitia Instagram.. "Ela sio kila kitu.. We all raping
for respect...Tunapenda kuwatangazia ma fansi
wetu wa Mbeya kuwa funga mwaka la
Weusi...limehirishwa kutokana na kifo cha mwana
Hiphop mwenzetu..R.I.P Geez Mabovu "
WEUSI WAHAIRISHA SHOW YA FUNGA MWAKA KUFUATIA KIFO CHA RAPPA GEEZ MABOVU.
Reviewed by Unknown
on
02:56
Rating:
No comments: