Recent Posts

"YA LUPITA NYONG'O NA K'NAAN"

Baada ya kuwepo kwa uvumi kuwa Lupita Nyong'o ameachana na rapper K'naan na kurudisha kambi kwa aliyekuwa mpenzi wake Jared Leto  hatimaye aweka bayana kati ya ukweli na uvumi baada ya kutokea kwenye Tuzo za Glamour na K'naan mwenyewe.

Mwigizaji Lupita Nyong'o amefuta uvumi wa
Kuachana na K'Naan yakuwa anatoka na
Jared Leto mpenzi wake wa kabla ya K'naan baada ya kuonekana na K'naan kwenye tuzo
za Glamour November 11.

Fahamu tu kuwa tuzo hizo za Glamour ndizo zilizo mpelekea Lupita kuwekwa
kwenye cover la jarida la Glamour toleo la
December kama mwanamke wa mwaka.

Aidha kwenye hotuba fupi katika utoaji tuzo hizo Lupita Nyong'o alikaliliwa skisema kuwa yeye ni "binadamu, na
ataendelea kuwa binadamu na mwanamke bora
zaidi".

"YA LUPITA NYONG'O NA K'NAAN" "YA LUPITA NYONG'O NA K'NAAN" Reviewed by Unknown on 03:46 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.