Recent Posts

KIFAA KINGINE KIPYA CHASAINI MIAKA 5 LIVERPOOL

>>Beki wa Southampton Nathaniel Clyne amekamilisha usajiri wake na klabu ya Liverpool baada ya kufaulu vipimo vya afya.
Nathaniel Clyne akisaini mkataba wa kuichezea klabu ya Liverpool

Clyne amesajiriwa kwa kitita cha pauni million 12.5 na amesaini mkataba wa miaka mitano kuitumikia klabu hiyo ya Anflied.

Beki huyo anachukua nafasi ya Gren Johnson ambaye ameachwa na klabu hiyo baada ya mkataba wake kuisha.

Hadi sasa Liverpool imesha sajiri wachezaji sita akiwemo James Mirlner, Roberto Filmino, Joe Gomez, Adam Bogan na  Dan Ings na Clyne mwenyewe.
KIFAA KINGINE KIPYA CHASAINI MIAKA 5 LIVERPOOL KIFAA KINGINE KIPYA CHASAINI MIAKA 5 LIVERPOOL Reviewed by Unknown on 15:59 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.