Timu ya Taifa ya Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia kwa upande wa wanawake kwa
kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2.
Katika fainali hii makubwa yaliweza jitokeza katika uwanja wa Vancouver mbele ya hamsini elfu mashabiki baada ya Wamarekani kufunga mabao manne kwa mfululizo katika dakika kumi na tano za mwanzo wa mchezo.
Carli Lloyd alifanya hila mpaka muda mfupi baada ya mechi akapatiwa taji la mchezaji bora wa mashindano.
Hii ni mara ya tatu katika michuano ya Kombe la dunia ya timu ya Marekani ya wanawake kutokea hila hizi za kufunga mabao manne ndani ya muda mchache.

MAREKANI MABINGWA KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE
Reviewed by Unknown
on
05:58
Rating:
No comments: