Recent Posts

PICHA: OBAMA ALIVYO POKELEWA KENYA: ULINZI, WENYEJI, USAFIRI PAMOJA NA NDUGU ZAKE

Siku ya jana Rais wa Marekani Barack Obama aliwasili Nchini Kenya ambako ndio asili yake huku katika mapokezi licha ya kuwepo mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, pia ndugu zake wa damu walikuwepo akiwemo Dada na Bibi yake ambapo leo hii ikiwa ni siku ya kwanza Rais Obama kuamkia Kenya ziara yake imeanza na ufunguzi wa mkutano wa Wajasilia mali. Ndugu zake Obama waliokuja kumlaki ni bibi yake Sarah Obama pamoja na dada yake Auma Obama

#Source:BBC

PICHA: OBAMA ALIVYO POKELEWA KENYA: ULINZI, WENYEJI, USAFIRI PAMOJA NA NDUGU ZAKE PICHA: OBAMA ALIVYO POKELEWA KENYA: ULINZI, WENYEJI, USAFIRI PAMOJA NA NDUGU ZAKE Reviewed by Unknown on 02:40 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.