DOLA MILLION 2 ZA MUOKOA RICK ROSS KUTOKWENDA JELA.
Rapa Rick Ross baada ya kamatwa June 24 mwezi uliopita kwa kosa la kuteka na kumshambulia mtu kitendo kilicho msababishia majeraha mwilini, hatimaye amepata dhamana ya kumuweka huru baada
ya kuweka dhamana ya dola milioni 2 taslimu na mahakama kumkubali
atoke.
#Fahamu:dhamana aliyoiweka Ricky imegawanyika kutoka sehemu tatu ambapo Dola milioni moja
imetokea kwenye nyumba yake aliyonunua kutoka
kwa bondia maarufu Evander Holyfield, huku dola laki 5 zikiwa zimetoka kwa
mdhamini wake
na dola laki 5 nyingine zikitoka mifukoni mwake mwenyewe.
..........
(www.facebook.com/KAYSTALLION.TZ)
ENTERTAINMENT: DOLA MILLION 2 ZA MUOKOA RICK ROSS KUTOKWENDA JELA.
Reviewed by Unknown
on
21:50
Rating:
No comments: