Mchezo wa leo ulikuwa wa mwisho kwa BR hata kama angeshinda kutoka na wamiliki wa klabu FSG kuamua kuachana na kocha huyo kutokana na mwenendo mbovu wa klabu hiyo.
Makocha wanaotajwa kuchukua nafasi ya Rodgers ni pamoja na kocha wa zamani wa Borusia Dotmund, Jugen Klopp, Carlo Ancelot aliyekuwa akifundisha Real Madrid, Frank De Boer kocha wa Ajax, Walter Mazzari aaliyekuwa Inter Milan na Diego Simeon kocha wa Atletico Madrid.
HATIMAYE LIVERPOOL YAMFUKUZA KAZI RODGERES, KLOPP NA ANCELOT WANUKIA ANFIELID
Reviewed by Unknown
on
01:34
Rating:
No comments: