Wakati watu wakisubiri kuwa pongeza pindi wakati utakapo fika wa kujifungua kwa Wema-Sepetu, yeye pamoja na Mpenzi wake Idris Sultan wote kwa pamoja wame kili kupitia Kurasa Zao za Instagram wote wawili kwa nyakati tofauti tofauti kila mmoja ameandika yake ya moyoni kuhusu kuharibika kwa Ujauzito huo ambao Idris kwa upande wake aliandika kuhusu watoto mapacha!!.
Baadhi ya wadau wa maswala ya kiburudani wakihusanisha na baadhi ya maneno aliyo yasema Nay-Wa-Mitego katika wimbo wake ulio fungiwa " #SHIKA_ADABU_YAKO" kuhusu ujauzito wa Wema "Wema Sepetu una mimba kweli, au ndo kiki za msimu?
Miezi tisa sio mingi, isije ikakugharimu
Na siku hazigandi tayari ushakuwa bibi
Na unakoelekea utatafuta kiki hadi kwa Fid" wakisema kuwa huenda Ujauzito huo ulikuwa Kiki kweli yaani kutafuta Umaarufu
wa msimu kama alivyo imba Ney wa Mitego katika wimbo wake!!
HIZI HAPA NI POST ZA WEMA NA IDRIS KUHUSU UJAUZITO HUO!
POST YA IDRIS |
POST YA WEMA |
WEMA SEPETU NA IDRIS SULTAN WAKIRI KUHARIBIKA KWA UJAUZITO WA WATOTO WAO MAPACHA!.
Reviewed by Unknown
on
00:15
Rating:
No comments: