BABA NA MWANA WACHUKUA TUZO YA HESHIMA KUPITIA FILAMU YA STRAIGHT OUTTA COMPTON: ICE CUBE & O'SHEA JACKSON JR.
Filamu ya Straight Outta Compton ni miongoni mwa filamu zinazo eleza namna muziki wa hip-hop ulivyo anza hasa ukiwa na waanzilishi mbali mbali kutoka WEST na EAST Amerika hasa kwa filamu hii ikilezea maisha na uhai wa kundi la N.W.A (Niggaz With Attitude).
Filamu ya STRAIGHT OUTTA COMPTON imeshinda tuzo ya Best Outstanding Motion Picture kwenye tuzo za 47 za NAACP Image Awards zilizo tolewa Wiki iliyopita kule Nchini Marekani.
Director wa filamu hii akiwa ni F. Gary na executive producer akiwa ni Ice Cube wote waliweza kuipokea Tuzo pamoja.
Pia Mtoto wa Ice Cube ‘O’Shea Jackson Jr’ alishinda Tuzo ya Outstanding Supporting Actor kwa kuigiza Wasifu kamili wa Maisha ya Baba yake na ukizingatia kufanana kwao.
FAHAMU: Filamu ya SOC (Staight Outta Compton) imefanikiwa kutengeneza pesa nyingi sana zaidi ya dola milioni $200 kwenye ufunguzi wake katika worldwide box office na kupata heshima ya kuwa filamu ya kwanza iliyo weza kutengeneza pesa nyingi zaidi ikiwa imetayarishwa na muongozaji mweusi (ICE CU
BE).
Filamu ya STRAIGHT OUTTA COMPTON imeshinda tuzo ya Best Outstanding Motion Picture kwenye tuzo za 47 za NAACP Image Awards zilizo tolewa Wiki iliyopita kule Nchini Marekani.
Director wa filamu hii akiwa ni F. Gary na executive producer akiwa ni Ice Cube wote waliweza kuipokea Tuzo pamoja.
Pia Mtoto wa Ice Cube ‘O’Shea Jackson Jr’ alishinda Tuzo ya Outstanding Supporting Actor kwa kuigiza Wasifu kamili wa Maisha ya Baba yake na ukizingatia kufanana kwao.
FAHAMU: Filamu ya SOC (Staight Outta Compton) imefanikiwa kutengeneza pesa nyingi sana zaidi ya dola milioni $200 kwenye ufunguzi wake katika worldwide box office na kupata heshima ya kuwa filamu ya kwanza iliyo weza kutengeneza pesa nyingi zaidi ikiwa imetayarishwa na muongozaji mweusi (ICE CU
BE).
BABA NA MWANA WACHUKUA TUZO YA HESHIMA KUPITIA FILAMU YA STRAIGHT OUTTA COMPTON: ICE CUBE & O'SHEA JACKSON JR.
Reviewed by Unknown
on
23:39
Rating:
No comments: