Recent Posts

KAZI HII IMEMFANYA WIZ KID KUZIDI KUKAMATA ANGA LA KIMATAIFA!


BAADA Wizkid  kumpa shavu Drake rapa kutoka Marekani katika Hit song yake ya 'Ojuelegba' kwa kuifanyia remix ya pamoja ngoma hiyo na vile vile kumfanya Drake kuzidi kumkubali Wizkid kiasi cha kumpa shavu katika ngoma yake mpya ya  ‘One Dance’ ambayo hivi sasa inafanya vizuri kwenye chati za Billboard Hot 100 na hatimae wiki hii umeshuka kutoka nafasi ya 50 na kitu na kufikia nafasi ya  ’21’ nchini Marekani.

Kwa ubora na uthamani wa Drake kumpa collabo hiyo Wizkid katika wimbo huo ambao pia ameweza kushilikishwa msanii mwingine Kyla umezidi kumpa heshima kubwa Wizkid ambaye anatokea Nchini Nigeria na hivyo kuweka rekodi ya pekee kuwa msanii wa kwanza kushiriki katika chati hiyo ya kimataifa akitokea Nigeria.

Tembelea na Like Ukurasa wetu wa Facebook kwa Habari na Matukio mengine pia
Tumia hii Link; KAYSTALLION.TZ

KAZI HII IMEMFANYA WIZ KID KUZIDI KUKAMATA ANGA LA KIMATAIFA! KAZI HII IMEMFANYA WIZ KID KUZIDI KUKAMATA ANGA LA KIMATAIFA! Reviewed by Unknown on 02:40 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.