Recent Posts

VIDEO YA KWETU YA RAYMOND WA WCB KUACHIWA LEO!!!

WAKATI Audio Song ya nyota mdogo mpya aliye sainiwa hivi karibuni na Record Label ya WCB chini ya Diamond Platnumz, Raymond a.k.a RaymondTipTop a.k.a Ray Vanny hatimaye Video imetangazwa kuwa tayari.

Kupitia acount ya Instagram ya Diamond Platnumz ambaye ni Boss wa Ray Vanny ameandika kuwa leo hii tarehe 14 ya April video ya wimbo huo 'Kwetu' iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu itaachiwa Rasmi na Kwamba mashabiki na wapendi wa wimbo huo wake mkao tayari kuitazama video hiyo kuanzia majira ya saa 10 jioni
na huenda kabla ya kupitia kwenye Luninga ikaanzia katika Youtube chennel ya Diamond au Raymond.


VIDEO YA KWETU YA RAYMOND WA WCB KUACHIWA LEO!!! VIDEO YA KWETU YA RAYMOND WA WCB KUACHIWA LEO!!! Reviewed by Unknown on 02:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.