Recent Posts

TAZAMA HAPA VIDEO YA RAYMOND 'KWETU'

KWAJINSI Video ya wimbo huu 'Kwetu' uliotokea kukubarika si tu kwamba msanii Raymond yupo katika Management kubwa WCB chini ya Diamond_Platnumz bali ni kutokana na mpangilio pia wa mashairi yake yaliyo pangwa katika uhalisia wa Maisha ya watu wengi wa hali ya chini wanaobahatika kupendwa na kuwa katika mahusiano na Wasichana.

Fanya kuitazama hapa kisha itolee maoni kilicho ibwa na kinacho onekana vinaendana?!
Video imedirectiwa na GodFather kutoka south Africa

HEBU ITAZAME KUPITIA LINK HII HAPA CHINI--:

http://www.youtube.com/watch?v=2uiFXUMVq5w&feature=youtube_gdata_player

TAZAMA HAPA VIDEO YA RAYMOND 'KWETU' TAZAMA HAPA VIDEO YA RAYMOND 'KWETU' Reviewed by Unknown on 11:40 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.