Klabu ya soka ya Athletic Bilbao
imetwaa ubigwa wa kombe la Super Cup nchini Hispania kwa jumla ya mabao 5-1 dhidi ya Barcelona baada ya kwenda
sare ya kufunga bao 1-1 katika mchezo uliopigwa jana usiku
.Mshambuliaji Lionel Messi ndio alianza kuiandikia timu yake bao dakika 44 kabla ya Aritz Aduriz kuisawazishia timu yake katika dakika ya 81 ya mchezo na na kuihakikishia ubingwa huo kwa jumla ya mabao 5-1.
Beki wa Barca Gerard Pique na Kike Sola wa Bilbao walipewa kadi nyekundu katika mchezo huo.
ATLETIC BILBAO YAISIMAMISHA BARCELONA NA KUTWAA SUPER CUP
Reviewed by Unknown
on
11:58
Rating:
No comments: