MAPINDUZI YAGONGA MWAMBA BURUNDI.
Mnamo 13 may Burundi ilitangaza kumpindua raisi wa nchi hiyo Pieree Nkurunziza,ambae anagombea
uraisi wa nchi hiyo kwa mara ya tatu.
Taarifa toka Nchini humo zinadai kuwa baada ya raisi huyo kugomewa na baadhi ya wananchi wa nchi hiyo, aliamua kuja Tanzania kupata ushauri huku nyuma akiacha vurugu zikiendelea,ndipo redio ya taifa ya nchi hiyo ilipotangaza kuwa jenerali mmoja wa jeshi amepindua nchi.
Msaidizi wa raisi pieree Nkurunziza, amekanusha vikali kuwa burundi haijapinduliwa, ambapo rais huyo
baada ya kutoka Tanzania alipanga kuzungumza na Taifa lake kwa pamoja.
Hata hivyo baadhi ya majenerali wanatafutwa,ambapo jenerali Godefroid Niyombare aliyehusika zaidi kimapinduzu anatafutwa.
NEWS: MAPINDUZI YAGONGA MWAMBA BURUNDI.
Reviewed by Unknown
on
22:54
Rating:
No comments: