MAN CITY YAISHUSHA DARAJA QPR BAADA YA KUICHAPA 6-0.
>>Klabu ya QPR imeshushwa daraja kutoka ligi kuu ya Uingereza baada ya kucharazwa mabao sita
bila na Manchester City.
Sergio Aguerro alifunga mabao matatu huku mabao yake mawili yakipatikana baada ya mabeki wa QPR kufanya masihara huku la tatu likipitia mkwaju wa penalti.
Aleksandr Kolarov alifunga kupitia mkwaju wa adhabu huku James Milner na David Silva wakipata
mabao yao baadaye.
QPR ilihitaji ushindi wa mechi tatu zake za mwisho ili kuwa na fursa ya kusalia katika ligi kuu ,lakini
kushindwa kwao na Mancity hakuridhishi.
SPORTS: MAN CITY YAISHUSHA DARAJA QPR BAADA YA KUICHAPA 6-0.
Reviewed by Unknown
on
15:15
Rating:
No comments: