Recent Posts

NEWS: KIMETA CHAZUA BALAA.

KIMETA CHAZUA BALAA.

Marekani imesema kuwa jeshi lake limetuma kimeta kimakosa na kusababisha baadhi ya maafisa
kukipata kimeta hicho.

Maafisa wapatao 22 waliogusana na kimeta katika kambi ya Osnan korea kusini mpaka sasa wana chunguzwa.

Maafisa wa ulinzi nchini marekani walikiri kuwa chembechembe hai za ugonjwa huo wa kimeta ni
hatari sana,ambapo zilitumwa kimakosa katika kambi 9 za kijeshi nchini marekani huku nyingine zikienda nchini korea kusini.

Kulingana na makao makuu ya ulinzi nchini marekani imesemekana  kuwa sampuli za chembechembe hizo za kimeta zilikuwa
zimenuiwa.

NEWS: KIMETA CHAZUA BALAA. NEWS: KIMETA CHAZUA BALAA. Reviewed by Unknown on 04:23 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.