Recent Posts

NEWS: RAISI WA ZAMANI WA UTURUKI AFARIKI DUNIA

RAISI WA ZAMANI WA UTURUKI AFARIKI DUNIA.

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren, amefariki dunia leo hii, huku katika kumbukumbu akiwa ni
Rais ambae aliongoza mapinduzi dhidi ya umwagaji damu mwaka 1980.

Evren amefarika akipatiwa matibabu katika hospitali ya mji wa Ankara, huku akiwa na umri wa miaka
97.

Fahamu: Mwaka uliopita raisi huyo alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani,kutokana na kuhusika
katika mapinduzi ya kijeshi chini ya utawala wake na watu kadhaa walinyongwa.

Hata hivyo katika tukio hilo la rais huyo,baadhi ya vyama vya siasa vilipigwa marufuku,na vyombo
vya habari vilivyotangaza habari vibaya na za kinyume.

NEWS: RAISI WA ZAMANI WA UTURUKI AFARIKI DUNIA NEWS: RAISI WA ZAMANI WA UTURUKI AFARIKI DUNIA Reviewed by Unknown on 14:52 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.