Recent Posts

SPORTS: SEVILLA MABINGWA EUROPA LEAGUE.

SEVILLA MABINGWA EUROPA LEAGUE.

>>Klabu ya FC Sevila ya Hispania imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la UEFA Europa League
baada ya kuifunga timu ya Dnipro kwa mabao 3-2.

Mabao ya Sevila katika mchezo huo yalifungwa na Krychowiak dakika ya 28′ na Bacca dakika za 31′
na 73′ huku mabao ya Dnipro yakifungwa na Kalinic dakika ya 7′ na Rotan dakika ya 44′.

Kwa ushindi huo Sevila imefanya nchi ya Hispania kupeleka timu tano katika Ligi ya mabingwa balani
Ulaya hivyo msimu ujao Timu tano kutoka Hispania zitashiriki UEFA Champions League.

SPORTS: SEVILLA MABINGWA EUROPA LEAGUE. SPORTS: SEVILLA MABINGWA EUROPA LEAGUE. Reviewed by Unknown on 04:04 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.