<>KLABU ya Arsenal imetoa Pauni Milioni 3.2 kwa ajili ya
kumnunua kipa wa Nice, David Ospina ambaye ni raia wa Colombia na
alitamba na timu hiyo katika michuano ya kombe la Dunia.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 alikuwa mmoja wa makipa waliokuwa kivutio kikubwa katika Kombe la Dunia, akiiwezesha Colombia kufika Robo Fainali, ambako ilitolewa na wenyeji Brazil.
Wakati huo huo, Arsenal inamtaka pia kiungo wa Sporting Lisbon mwenye thamani ya Pauni Milioni 35, William Carvalho.
Tayari Arsenal imemsajili mshambuliaji nyota wa Chile,A lexis Sanchez kutoka Barcelona
#By_Sports_Admin_Emmanuel_Senny

ARSENAL IMEKUBALI DAU KUMSAJIRI KIPA WA COLOMBIA
Reviewed by Unknown
on
04:39
Rating:
No comments: