Recent Posts

MNADA!!!! MNADA!!! MNADA!!!

MNADA WA HADHARA UTAFANYIKA KESHO TAREHE 15/7/2014 KWA IDHINI ILIYOTOLEWA NA (TRA) MAKAMBAKO CUSTOMS.


Kupitia kampuni ya YONO AUCTION MART watahusika katika kuuza Magari mbali mbali ya Wateja walioshindwa kulipa kodi.

Hivyo kwa wakazi wa Mkoa wa Mbeya, Njombe, Iringa  na hasa wale wenyeji wa Makambako mkoani njombe fahamu kuwa mnada utafanyika Jumanne Tarehe 15/7/2014 eneo la Customs-TRA Makambako.

Vitu vitakavyo uzwa ni pamoja na Magari ambayo ni: Toyota Double Cabin, Landlover Range, Toyota Corrola, Rav 4 nk.
 

Woooooooote!! Mnakaribishwa!

KWA MAWASILIANO WAONE YONO AUCTION, MART WA ICE FM RADIO.
AU PIGA SIMU NAMBA: 0714-976048/ 0764-668451

AU: ONANA NA MENEJA TRA CUSTOMS MAKAMBAKO.
SIMU NO:0754-355150
MNADA!!!! MNADA!!! MNADA!!! MNADA!!!! MNADA!!! MNADA!!! Reviewed by Unknown on 07:12 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.