Recent Posts

HII NDIO ORODHA YA WAIGIZAJI WA KIUME KUTOKA HOLLYWOOD WENYE UTAJIRI MKUBWA JE!! UNAYE MKUBALI YUPO?!!

Jarida linalo fanya kazi ya kutoa takwimu za utajiri wa watu maarufu Duniani na kuweka wazi ili watu wafahamu "FORBES" limetoa orodha ya waigizaji wa kiume wanaolipwa zaidi Hollywood.

Hawa ndio wanalipwa pesa nyingi zaid kwenye filamu wanazoigiza.
Star wa filamu za Iron Man Robert Downey ndiye

 
ameongoza kwa kwakulipwa dola za kimarekani milioni
75 kwenye filamu zake.

Dwayne Johnson Maarufu Kama The
Rock Analipwa $52 Million.
 
Bradley Cooper analipwa $46 Million.
 
Leonardo DiCaprio $39 Million.

Chris Hemsworth $37 Million.
 
Liam Neeson $36 Million.

Ben Affleck $35 Million.

Christian Bale $35 Million.

Will Smith $32 Million.
 
Mark Wahlberg $32 Million.
HII NDIO ORODHA YA WAIGIZAJI WA KIUME KUTOKA HOLLYWOOD WENYE UTAJIRI MKUBWA JE!! UNAYE MKUBALI YUPO?!! HII NDIO ORODHA YA WAIGIZAJI WA KIUME KUTOKA HOLLYWOOD WENYE UTAJIRI MKUBWA JE!! UNAYE MKUBALI YUPO?!! Reviewed by Unknown on 02:15 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.