HATIMAYE bingwa wa Dunia amepatikana punde tu,
baada ya mchezo wa fainali kati ya Germany na Argentina uliomalizika
ndani ya dakika 120.
Mchezo huo ulionekana kuwa wa pande zote mbili na kusababisha kumaliza dakika 90 wakiwa hawajafungana.
Ndani ya dakika 120 kiungo wa Germany Mario Gotse aliipatia timu yake bao na kuifanya Germany kumaliza mchezo wakiwa mbele kwa bao moja na hatimaye kuwa mabingwa wapya wa Dunia 2014.
Sambamba na hayo goalkeeper wa Germany Emmanuel Noue amekuwa kipa bora wa mashindano hayo huku Lionel Messi amekuwa mchezaji bora.
#By_Sport_Admin_Emmanuel_Senny

GERMANY BINGWA WA DUNIA 2014, YAITUNGUA ARGENTINA BAO 1-0
Reviewed by Unknown
on
08:37
Rating:
No comments: