HATIMAYE klabu ya Liverpool imekubali kuumuza mshambuliaji wake hatari Luis Suaraez kwenda Barcelona baada ya muda mrefu kutakiwa na Klabu hiyo na wapinzani wake Real Madrid.
Liverpool na Barcelona wamekubaliana ada ya paun million 75 na na anatarajiwa kusafiri hadi Hispain kwa ajiri ya vipimo vya afya wiki ijayo.
Suarez ambaye ndiye mfungaji bora wa ligi kuu England msimu uliopita na mshindi wa tunzo ya PFA anatumikia adhabu ya kufungiwa miezi minne na shirikisho la soka dunian FIFA baada ya kumng'ata beki wa Italy Giorgio Chiellin.
Suarez alisajiriwa na Liverpool kwa ada pauni 22 akitokea Ajax mwaka 2011 pia anajulikana kwa tabia ya kung'ata wachezaji wenzake kabla ya Chiellin, Suarez alimng'ata beki wa Chelsea Ivannovic.
#By_Sports_Admin_Emmanuel_Senny
SUAREZ TAYARI BARCELONA KWA DAU KUBWA LA PAUN MILLION 75
Reviewed by Unknown
on
07:57
Rating:
No comments: