Mshambuliaji
wa Argentina LIONEL Messi amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa
Kombe la Dunia 2014 licha ya timu yake kufungwa na Germany.
Nyota huyo wa Barcelona ameshindwa kuisaidia Argentina kutwaa Kombe la Dunia baada ya kufungwa 1-0 na Ujerumani katika Fainali
Uwanja wa Maracana mjini Rio de Jeneiro, Brazil.
Bao hilo pekee la Ujerumani, lilifungwa na Mario Gotze aliyeingia kuchukua nafasi ya Miroslav Klose dakika 88, aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 112.
Aidha mlina mlango wa Ujerumani, Manuel Neuer ameshinda tuzo ya kipa bora wa mashindano ya mwaka huu.
Wenyeji Brazil waliambulia nafasi ya nne baada ya kufungwa 3-0 na Uholanzi jana.
Nae James Rodriguez wa Colombia amekuwa mfungaji bora kwa mabao yake sita, licha ya timu yake kutolewa Robo Fainali. Amefuatiwa na Thomas Muller wa Ujerumani mabao matano, Lionel Messi mabao manne sawa na Robin van Persie wa Uholanzi.
#By_Sports_Admin_Emmanuel_ Senny

#By_Sports_Admin_Emmanuel_
MESSI NI HATARI ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA KOMBE LA DUNIA 2014, NEUER ABEBA TUZO YA KIPA BORA
Reviewed by Unknown
on
08:32
Rating:
No comments: