Kumbuka wakati wa kombe la Dunia
Roma aliandika kwenye acount yake ya Instagram kuwa atahamia Sharobaro Records
na atafanya kazi na Bob Junior endapo Timu ya Taifa ya Brazil itafungwa na Ujerumani.
Ambapo kama utani siku hiyo Brazil walifungwa na Ujerumani magori saba kwa moja.
Usichokijua ni kwamba tayari rappa Roma amesharekodi wimbo na Bob Junior unaitwa Maumivu kwenye studio za Sharobaro records na wimbo huu unatokia wiki ijayo.
Kwa ushahidi kamili juu ya hilo angali picha hii ya Roma na Bob Junior walivyokuwa studio .

ROMA AFANIKIWA KUREKODI WIMBO KATIKA STUDIO YA SHAROBARO RECORDS AKIWA NA BOB JUNIOR.
Reviewed by Unknown
on
00:23
Rating:
No comments: