Kama ambavyo tumezoea kusikia kuwa mwenye kidogo ataongezewa basi ndivyo ilivyo kwa Msanii anaye fanya vizuri kutoka hapa nyumbani Tanzania Nasibu Abdul "Diamond Platnumz" ambapo kupitia taasisi ya The Future Africa imetangaza majina ya watu watakaowan ia tuzo za mwaka huu za TFAAS (The Future Africa Awards & Summit), na Diamond Platnumz akiwa mmoja wao katika vipengele kumi vilivyo tajwa kuwaniwa ambapo Platnumz ametajwa kuingia kuwania kipengele cha The Future Africa Awards Prize in Entertainm ent
ambacho atashindana na rapper Ice Prince wa Nigeria, rapper Sarkodie wa
Ghana, muigizaji wa Nigeria Ivie Okujaye, na mchezaji wa soka wa Ivory
Coast, Yaya Toure richa ya kuingia katika vipengele vitano vya tuzo za "AFRIMMA" zitakazo fanyika July 26 mwaka huu lakini bado ameingia kwenye tuzo hizo katika kupeperusha bendera ya Tanzania.
Kwa mujibu wa Shirika hilo Tuzo hizo zitafanyik a jijini Lagos, Nigeria, July 31, na mpango wa kumtafuta mshindi wa Tuzo hizo utatokana na mapendekez o ya jopo linaloundw a na watu kadha akiwemo Katja Schiller Nwator (Leadershi p Developmen t and CSR Manager, The Tony Elumelu Foundation ), Mahamadou Sy (Founder and Executive Director of the Institute Supérieur de Développem ent Local (ISDL), Senegal), Wendy Luhabe (Founder, Women’s Private Equity Fund).
DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO NYINGINE!!
Reviewed by Unknown
on
02:47
Rating:
No comments: