ARSENAL YAUA 5-0 SOUTHAMPTON YASIMAMISHWA
>>Klabu ya Arsenal imefanikiwa kupata ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi kuu nchini England uliopigwa katika dimba la Emirates.
Katika mchezo huo mabao ya Arsenal yalifungwa na Giroud dakika ya 8, Özil dakika ya 56, Walcott dakika ya 63, Cazorla aliyefungwa kwa njia ya penart dakika ya 75′ na Bellerin akamalizia karamu hiyo ya mabao kwa bao lake la dakika ya 90′.
Kwa ushindi huo Arsenal imefikisha pointi 42 na kusogea hadi nafasi ya tano katika msimamo wa ligi kuu nchini England.
Katika mchezo mwingine timu ya imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Swansea huku mfungaji wa bao hilo akiwa ni mchezaji wa zamani wa Liverpool Jonjo Shelvery aliyefunga katika dakika ya 83.

267 people reached
ARSENAL YAUA 5-0 SOUTHAMPTON YASIMAMISHWA
Reviewed by Unknown
on
05:41
Rating:
No comments: