LIVERPOOL TOTTENHAM ZATUPWA NJE EUROPA
LEAGUE.
>>Timu ya Liverpool imeonekana kukosa bahati baada ya kuondolewa tena kwenye mashi ndano ya
kuwania Europa League hatua ya 32 bora baada ya kufungwa na Beskitas penat 5-4 katika mchezo
uliofanyika katika dimba la Istambul nchini Uturuk.
Awali Liverpool ilitolewa katika hatua ya makundi ya UEFA Champion na kushushwa kushiriki Europa League ambapo ilipangwa kucheza na Beskitas
hatua ya 32 bora, Katika mchezo wa awali uliopigwa Anflied nyumbani kwa Liverpool wenyeji walifanikiwa
kushinda bao 1-0.
Katika mchezo wa marudiano Beskitas walifanikiwa kushinda bao 1-0 bao lililofungwa na Arslan dakika ya 72 na kufanya timu hizo kuwa sare ya bao 1-1
hivyo ikalazimika kupiga mikwaju ya penati ambapo Beskitas walishinda penat 5-4.
Beki wa Liverpool Dejan Lovren ndiye aliyekosa mkwaju wa Penati na kuwafanya Beskitas kusonga
mbele kwa hatua ya 16 bora huku wao Liverpool wakitupwa nje ya mashindano hayo.
Nao Tottenham wametupwa nje baada ya kuchapwa
mabao 2-0 dhidi ya Fiorentina ya Italy, mabao yaliyofungwa na Gomez dakiika ya 54′, na Salah
dakika ya 71′.
Matokeo ya m,ichezo mingine ya Europa hatua ya
32 bora iliyopigwa hii leo ni kama ifuatavyo;-
Besiktas 1 - 0 Liverpool (agg 1 - 1)
Besiktas win 5-4 on penalties
Fiorentina 2 - 0 Tottenham (agg 3 - 1)
Inter Milan 1 - 0 Celtic (agg 4 - 3)
Everton 3 - 1 BSC Young Boys (agg 7 - 2)
Feyenoord 1 - 2 Roma (agg 2 - 3)
Dinamo Moscow 3 - 1 Anderlecht (agg 3 - 1)
Zenit St P 3 - 0 PSV FT
Borussia Mönchengladbach 2 - 3 Sevilla (agg 2 - 4)
Dynamo Kiev 3 - 1 Guingamp (agg 4 - 3)
FC Red Bull Salzburg 1 - 3 Villarreal (agg 2 - 5)
Legia Warsaw 0 - 3 Ajax (agg 0 - 4)
Ath Bilbao 2 - 3 Torino.
No comments: