JESHI LA CHINA LAPIGA HODI SUDANI KUSINI.
China imetangazaa kuwa kikosi chake maalum cha kijeshi kilicho jumuishwa na wanajeshi wa kulinda amani wa umoja wa mataifa kitaanza shughuli zake nchini Sudani Kusini.
Katika kipindi cha majuma machache yajayo,jumla ya wachina 700 watawasili nchini humo.
Katika hatua hiyo imeelezwa kuwa watakuwa na ndege zisizokuwa na rubani,vifaru na makombora, ambapo hata hivyo China
haijawahi kutumia maelfu ya walinda amani,lakini imekuwa zaidi ikitoa misaada kwa ajili ya amani.
NEWS: JESHI LA CHINA LAPIGA HODI SUDANI KUSINI.
Reviewed by Unknown
on
07:08
Rating:
No comments: