Recent Posts

SUDANI KUSINI YAPATA HATI YA AMANI.

SUDANI KUSINI YAPATA HATI YA AMANI.

Sudani kusini yapata hati ya amani nchini humo,Raisi wa Sudani kusini Salvar Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wametiliana saini kuundwa kwa serikali ya kugawana madaraka kuhitisha vita vya zaidibya mwaka mmoja.

Katika hatua hiyo iliyowekwa makubaliano hayo yalifikiwa katika mji mkuu wa Adiss Ababa nchini Ethiopia,wote wawili walikubaliana kuhitimisha mapigano na vita vya wenyewe kwa wenyewe mpaka kufikia machi tano.

Kwa muda kidogo washauri walitumia mawazo mazuri ya kuunda mfumo wa serikali ya kugawana madaraka.

Taarifa ambazo "BBC" hazijasibitisha zinaeleza kwamba Raisi Salver Kiir atasalia kuwa Raisi wa nchi hiyo mda si mrefu na makamu wa Raisi wa vyama hivyo viwili viliingia kwenye mapigano mara tu baada ya Machar mnamo mwezi Desemba mwaka 2013.

SUDANI KUSINI YAPATA HATI YA AMANI. SUDANI KUSINI YAPATA HATI YA AMANI. Reviewed by Unknown on 05:43 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.