"AU" YAANZISHWA KODI YA KUGHARAMIA.
Katika mkutano uliofanyika wa AU wa siku mbili wa viongozi wa nchi za umoja wa Afrika,viongozi hao walipendekeza kuanzisha kodi ili kugharamia shirika hilo.
Katika hatua hiyo walipendekeza kodi itozwe juu ya tiketi za ndege,hoteli na ujumbe wa simu za mkononi.
Taarifa zilisema kwamba hapo zamani "AU" ilikuwa ikifadhiliwa na kiongozi wa Libya Gaddafi, lakini kwa sasa bajeti yake inagharamiwa na wafadhili wa kimataifa.
Viongozi hao walipokutana mjini Addis Ababa, pia walisema kuwa mahakama ya jinai ya kimataifa"ICC" inafaa kufuta mashtaka dhidi ya Raisi wa Kenya Wiliam Ruto.
Katika hatua hiyo "AU" imekuwa ikiilaumu ICC kuwa mara nyingi iliwalenga viongozi wa Afrika.

Reviewed by Unknown
on
05:47
Rating:
No comments: