Recent Posts

NEWS: SUDANI KUSINI YAPEWA ONYO NA AU.

SUDANI KUSINI YAPEWA ONYO NA AU.

Umoja wa Afrika umetishia pande mbili zinazopigana kutoka sudani kusini kwamba zitawekewa vikwazo vikubwa kwa mapigano nchini humo.
Taarifa zilisema kwamba baraza la amani na usalama la " AU" limesema kuwa vikwazo vitaweka kwa pande zote ambazo zinachafua makubaliano ya amani.

Baraza hilo liliomba serikali na wapiganaji kueleza mapendekezo yao kuhusu serikali ya mpito kabla ya mkutano wa viongozi wa "AU" Kumalizika mjini Addis Ababa Ethiopia.

Baraza la usalama la umoja wa mataifa na jumla Afrika Mashariki,IGAD zimetishia kuweka vikwazo.

Mapigano yalianza mwaka 2013 baina ya wanajeshi wa Raisi Salvar Kiir na wale watiifu kwa makamo wake raisi wa zamani Riek Machar.

Mapigano yaliebdelea ingawa makubaliano kadhaa ya amani yametiwa saini na umoja huo.

 
NEWS: SUDANI KUSINI YAPEWA ONYO NA AU. NEWS: SUDANI KUSINI YAPEWA ONYO NA AU. Reviewed by Unknown on 05:38 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.