Recent Posts

AKAUNTI YA INSTAGRAM YA BELLE 9 YATUMIWA KUMTUKANA DIAMOND!

Post iliyokuwa na matusi ilionekana kwenye mtandao wa instagram kupitia acount ya Belle 9 ambapo baadhi ya watu walijua msanii huyo alikuwa na Bifu la kimya kimya na Nguli wa Bongo fleva Naseeb Abdul 'Diamond' huku pasipo yeye mwenyewe kujua kuwa Acount yake imekamatwa na wezi ambao ni wataalamu wa wa Teknolojia ya I.T.
Muda mchache kidogo baada ya  Belle 9 kuripoti tukio hilo kwa watu ambao pia wana Utaalam wa I.T aliweza kusaidiwa na posti hiyo iliondolewa huku ukifuata ujumbe wa Belle 9 kuomba radhi kwa kudai kuwa kuna mtu aliiteka acount yake (HACKER) na kufanya hivo, ambapo pia alidai kuwa atakacho kifanya ni kumchukulia hatua za kisheria mtu huyo akimbaini.

AKAUNTI YA INSTAGRAM YA BELLE 9 YATUMIWA KUMTUKANA DIAMOND! AKAUNTI YA INSTAGRAM YA BELLE 9 YATUMIWA KUMTUKANA DIAMOND! Reviewed by Unknown on 23:47 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.