Recent Posts

SWIZ BEAT AMPONGEZA MWANAYE WA MIAKA 5 KWA KUTAYARISHA NGOMA YA KENDRICK LAMAR



Egypt Kaseem Dean ni mtoto wa Alia Keys na SwizBeat ambaye ameingia kwenye Headlines baada ya baba yake SwizBeat kutangaza  kuwa  ameshiriki kwenye kutayarisha moja ya nyimbo za Kendrick Lamar zilizopo kwenye album yake mpya ya  "Untitled, Unmastered".

Egypt ametayarisha wimbo wa saba kwenye album ya “Untitled” ambapo pia sauti yake imeweza kusikika kwenye wimbo huu.
Swizz beats aliandika hivi kupitia Instagram “This is the best Dad moment everrrrr!! Congrats to my son Egypt for producing his 1st track on this amazing Kendrick Album. he’s only 5yrs old wowwwwwww @aliciakeys look at our lil guy baby. #blessingsonblessings thx #Kendrick for investing in the future !!!”
EGYPT akiwa kwenye picha ya pamoja na Baba yake:SwizBeat, Kendrick Lamar, Jay-z, na Usher-Raymond.
SWIZ BEAT AMPONGEZA MWANAYE WA MIAKA 5 KWA KUTAYARISHA NGOMA YA KENDRICK LAMAR SWIZ BEAT AMPONGEZA MWANAYE WA MIAKA 5 KWA KUTAYARISHA NGOMA YA KENDRICK LAMAR Reviewed by Unknown on 02:22 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.