Recent Posts

NEYO NA CRYSTAL RENAY WAPATA MTOTO WA KIUME.

Siku kadhaa zikiwa zimepita baada ya Neyo kufunga ndoa na mpenzi wake mpya Crystal Renay wakati pia akiwa mjamzito hatimaye amefanikiwa kujifungua Mtoto wa Kiume ambaye wamempatia jina la  Prince Shaffer Chimere Smith, Jr   aliye zaliwa siku ya jumanne ambapo taarifa za kupokea mtoto huyo zilianza kutolewa siku ya jana kutoka kwa Neyo na Mkewe.
#FAHAMU: Neyo na Crystal Renay walianza kuwa pamoja baada ya Neyo kuachana na aliyekuwa Mke wake ambaye pia amezaa naye watoto wawili, Monyetta Shaw.
Neyo na Crystal walifunga ndoa february 22 mwaka huu!.

KAYSTALLION TZ FACEBOOK PAGE.
NEYO NA CRYSTAL RENAY WAPATA MTOTO WA KIUME. NEYO NA CRYSTAL RENAY WAPATA  MTOTO WA KIUME. Reviewed by Unknown on 03:06 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.