Harmonize, Harmo mapenzi kama anavyo jiita mwenyewe wiki iliyopita ameachia ngoma yake mpya aliyofanya na Boss wake Diamond Platnumz 'BADO' ndani ya record label ya WCB, hivyo na kupata pia Air Time ya kutosha kwenye vituo mbali mbali vye Redio hapa Nchini.
Kipya zaidi kutoka kwake kinakuja hasa pale alipo kuwa akifanya mahojiano na kituo kimoja wapo cha Televisheni hapa Nchini na kuweka jambo jipya masikioni na midomoni mwa watu kwa kusema kuwa kwa upande wake yupo tayari kufanya kazi na Alikiba ambaye kwa upande wa mahusiano yake na Diamond Platnumz bosi wake hayako poa.
licha ya Alikiba tu, pia Harmonize alidai kuwa yupo tayari kufanya kazi na msanii mwingine yoyote hapa Nchini ikiwa tu kutakuwa kuna umuhimu wa Kufanya kazi naye.
Aidha pia alicho fafanua zaidi ni kuwa hatoweza kuingilia bifu la Diamond Platnumz na msanii mwingine yoyote zaidi tu ni kuangalia nini kilicho sababisha Ugomvi huo.
Mpango kazi kumuhusu yeye kwa sasa ni kuwa ataachia Album yenye nyimbo kali zikiwa zimeisha kamilika kwa alivyo dai yeye.
#SOURCE.
Clouds360,CloudsTV

MANENO YA HARMONISE WA WASAFI WCB YAKIAMBATANA NA UJIO WA NGOMA YAKE MPYA "BADO"
Reviewed by Unknown
on
01:25
Rating:
No comments: