Recent Posts

EDDY KENZO KUSIMAMA MBELE YA OBAMA MACH 18 MWAKA HUU.

MSANII Eddy Kenzo anaye upeleka muziki wa Nchini Uganda katika  anga za kimataifa amepata pongezi za moja kwa moja Toka kwa Serikali ya Nchini Uganda hasa zikiwa zimtoka Ikulu kufuatia mafanikio yake ya kuukuza Muziki wa Nchini humo katika miondoko ya kisasa.

Pongezi za Eddy Kenzo zimefutatana pia na kuchaguliwa kufanya show kwenye tamasha kubwa la filamu la South By Southwest (SXSW) Festival 2016 ambalo mgeni rasmi amepangwa kuwa ni Rais anaye karibia kustafu  Obama na mke wake Michelle Obama.

Tamasha hili litafanyika March 18 2016,Austin, Texas
Austin, Texas, United States.

Austin, Texas, United States.
Austin, Texas, United States.
Pongezi alizopewa zilikuwa zinasema hivi! “Congratulations to Edrisah Musuuza, aka Eddy Kenzo, on being selected to perform at one of the biggest global music, film and media events – the South By Southwest (SXSW) Festival 2016 – for the second consecutive year,Congratulations Mr. Musuuza for putting ?Ugandan Music on the global map and for inspiring many young Ugandans,”
EDDY KENZO KUSIMAMA MBELE YA OBAMA MACH 18 MWAKA HUU. EDDY KENZO KUSIMAMA MBELE YA OBAMA MACH 18 MWAKA HUU. Reviewed by Unknown on 00:37 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.