MREMBO aliye wahi kuwa na mahusiano na Mkali wa Muziki wa Bongo Fleva tokea kitambo
Mr.Blue a.k.a Blue Byser Naj(@najdattani)
anavuma tena mitandaoni tena kwa taarifa zinazo mhusu kuwa yupo kimahusiano na Barakah Da Prince ambaye kwa hivi sasa pia anafanya vizuri katika muziki wa Bongo fleva.
|
Mr.Blue kipindi yupo kwenye mahusiano na Naj. |
Yote haya yanakuja baada ya wawili hao kushare picha za kila mmoja wao kwenye acount za za Instagram kumshare picha ya mwenzake huku wakiwaacha mashabiki kujiuliza na kujijibu!.
|
Uthibitisho wa Naj kuwa karibu sana na Barakah Da Pince. |
|
Barakah Da Prince alisha wahi kunukuliwa kuwa hivi sasa anaamini kumpata Msichana ambaye anaamini ndiye aliye moyoni mwake.
#FAHAMU..Licha ya Naj kuwahi kuwa na mahusiano na Mr.Blue pia alisha wahi kusikika kuwa kimahusiano na Diamond Platnumz pia.
|
Picha: Naj na Diamond siku ya Birth day yake kipindi habari zinazagaa | kuwa wako pamoja. |
No comments: