Mara nyingi huwa tunasema Sauti nzuri ndio humtoa nyoka pangoni na ni kweli kwa asili kadhaaa (hahaha!).
Tumezoa kuona mastaa wetu wa hapa nyumbani Tanzania wakihusishwa na habari zinazo kuwa katika Uvumi kiasi kupelekea mashabiki zao kuamini kwamba huenda ikawa kweli!.
Wiki iliyopita kituo kikubwa cha Habari cha CitizenTv cha Nchini Kenya kupitia tovuti yao ambayo inasomwa karibia Afrika Mashariki yote kiliweka habari iliyo kuwa inasema hivi:
"Tanzanian singer, Diamond Platnumz, has been confirmed as the biological father of his daughter, Latifah. A DNA test was conducted on Diamond, his baby mama, Zari Hassan, and her daughter Latifah.
Platnumz went for a DNA test following pressure from fans and critics who claimed the singer may not be the baby’s daddy. They alleged Tifah, as the baby is fondly called, might belong to Zari’s ex-husband, Ivan Ssemwanga, or a Tanzanian business tycoon Zari had been linked with.
The DNA test was conducted in a South African hospital and when the result confirmed Platnumz the father of Tifah, the singer was alleged to have burst into tears.
Speaking to Citizen TV, Platnumz said: “People talked a lot, created a lot of lies. I was not worried nonetheless. All through, I knew the baby is mine; though just to make myself happier and more peaceful, I decided to conduct a DNA test on Tifah. Tifah is my daughter, completely! I am extremely overjoyed by the results (DNA). That’s why I am now freer, happier and having a good time. When you happen to visit my office, you will notice I have hung framed photos of Tifah everywhere. I am not worried at all. I can now courageously face my critics".
Katika kuyakanusha hayo Diamond Platnumz kupitia Mahojiano na East Africa Television kupitia kipindi cha Enews alisikika akisema kuwa ''kumpima Mtoto D.N.A ni kutojiamini na alidai pia kuwa aliamini mtoto ni wake tokea Tumboni!''.
Kupitia maneno hayo sasa inaaminika kuwa ukweli katika hilo anaujua Diamond na Mama mtoto wake zaidi katika aliyo yaongea ni kukata uvumi ambao pia inadaiwa kuwa walienda South Afrika Kupima DNA wakati Diamond hajaenda LasVegas kufanya Show kitu ambacho kwa maelezo yake amekanusha! na kusema hakufanya kipimo cha D.NA (deoxyribonucleic acid) kipimo ambacho watu hutumia kujua uhusianio wao katika damu.
KAYSTALLION TZ FACEBOOK.
Tumezoa kuona mastaa wetu wa hapa nyumbani Tanzania wakihusishwa na habari zinazo kuwa katika Uvumi kiasi kupelekea mashabiki zao kuamini kwamba huenda ikawa kweli!.
Wiki iliyopita kituo kikubwa cha Habari cha CitizenTv cha Nchini Kenya kupitia tovuti yao ambayo inasomwa karibia Afrika Mashariki yote kiliweka habari iliyo kuwa inasema hivi:
"Tanzanian singer, Diamond Platnumz, has been confirmed as the biological father of his daughter, Latifah. A DNA test was conducted on Diamond, his baby mama, Zari Hassan, and her daughter Latifah.
Platnumz went for a DNA test following pressure from fans and critics who claimed the singer may not be the baby’s daddy. They alleged Tifah, as the baby is fondly called, might belong to Zari’s ex-husband, Ivan Ssemwanga, or a Tanzanian business tycoon Zari had been linked with.
The DNA test was conducted in a South African hospital and when the result confirmed Platnumz the father of Tifah, the singer was alleged to have burst into tears.
Speaking to Citizen TV, Platnumz said: “People talked a lot, created a lot of lies. I was not worried nonetheless. All through, I knew the baby is mine; though just to make myself happier and more peaceful, I decided to conduct a DNA test on Tifah. Tifah is my daughter, completely! I am extremely overjoyed by the results (DNA). That’s why I am now freer, happier and having a good time. When you happen to visit my office, you will notice I have hung framed photos of Tifah everywhere. I am not worried at all. I can now courageously face my critics".
PICHA:inayo daiwa kumuonyesha Diamond akiangua Machozi na Kilio baada ya kugundua eti Latifah ni mwanaye kumbe ni show yake ya Dar Live mwaka jana!. |
Moja ya Blog kubwa ya Tanzania pia iliweka taarifa hiyo. |
Diamond akiwa amembeba Mtoto wake akiwa na Mama wa mtoto huyo Zarinah. |
Latifah Naseeb Abdul mtoto wa Diamond Platnumz. |
DIAMOND: KUMPIMA TIFFAH D.N.A NI KUTOJIAMINI!!
Reviewed by Unknown
on
00:45
Rating:
No comments: