UTAMBULISHO wa Bushoke ndani ya band ya QS International umefanywa na Qchief kupitia ukurasa wake wa Instagram, “Anaitwa Rutha Bushoke napenda kumuita Luther King, best of the best ndio member mpya wa Qs.
Q Chief licha ya kuwa na maelewano hafifu na baadhi ya ma Video Director wa hapa Nchini baada ya kusema ''kuwa wengi wao hawajilewi kazi wanazo zifanya na kwamba hivi sasa yeye atakuwa anafanya Video na Madirector wa Nje'' pia akiwa anatamba na Wimbo wake mpya aliomshirikisha TID 'Mkungu wa Ndizi' ikiwa ni ujio mpya mwingine baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.

BUSHOKE AJIUNGA NA KINA QCHIEF, MZEE YUSUF NA WASANII WENGINE NDANI YA LEBO YA QS J MHONDA.
Reviewed by Unknown
on
00:53
Rating:
No comments: