Msanii anaye fanya vizuri katika Muziki kutoka Nigeria
Davido ambaye hivi karibuni aliweza kusaini dili nono la dola za kimarekani
Millioni 1 kwaajili ya kufanya kazi na Kampuni ya
Sony Music BMG ikiwa ni pamoja na kuhakikisha anafanya kolabo na wasanii wakubwa wanaofanya vizuri katika kimataifa.
|
PICHA: Davido siku aliyo Saini mkataba na Sony. |
Davido akiwa amesha fanya matayarisho ya albamu yake mpya inayoitwa
"Baddest" amesema kuwa itachelewa kufuatia kampuni ya
Sony Music BMG inayosimamia kazi zake kudai kuwa album hio bado haijashiba vizuri na kwamba inahitaji kazi zaidi ziongezwe.
|
Davido alipo kutana na Future. |
Davido akiwa tayari kaisha fanya colabo na Rapa kutoka Philadelphia, Nchini Marekani
Meek Mill nyimbo inaitwa
‘Fans Mi’ imedaiwa pia kuwa kunakazi mpya zinakuja ikiwemo colabo na
Trey Songz,Future,T.I,Young Thug na wengine wengi..
#FAHAMU.jarida la
Fader toleo la
February/March 2016 lilithibitisha kuwa
Davido alimlipa Meek Mill kiasi cha dola laki mbili
‘$200,000’ ili kufanya naye wimbo wa “Fans Mi”. Pesa hizi nikama
436,490,000 za
Kitanzania.
No comments: