DOKTA MAGUFULI AZIDI KUPONGEZWA KWA UJENZI WA BARABARA.
Waziri wa ujenzi Dokta John Magufuli ,amezidi kupongezwa kwa ubora wa kazi yake ya kusimamia ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-
Msata, ambayo inaunganisha mpaka Tanga,na mkoani Kilimanjaro kwa kubakisha sehemu ndogo ya kuimalizia barabara hiyo.
Wasafiri mbalimbali walizungumza na KAY-STALLION TZ na kusema kuwa wanamshukuru waziri
huyo pamoja na serikali ya Tanzania,kwa kuwatengenezea barabara,na kusafiri kwa haraka
zaidi kutokana na ubora wa barabara.
Hata hivyo waliongeza kuwa baadhi ya wakazi wa Tanga hawawezi kuzunguruka tena,kupitia Mlandizi
kwa sasa wanakatiza njia ya bagamoyo.
NEWS: DOKTA MAGUFULI AZIDI KUPONGEZWA KWA UJENZI WA BARABARA.
Reviewed by Unknown
on
03:43
Rating:
No comments: