Recent Posts

NEWS: SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI KENYA LAUWA WATU 2.

SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI KENYA LAUWA WATU 2.

Taarifa kutoka Nchini Kenya zinasema kuwa Wapiganaji wa kigaidi waliofunika nyuso zao
walishambulia chuo kikuu cha Gorissa kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka wa taifa hilo na
Somalia.

Katika shambulio hilo milio ya risasi pamoja na milipuko ilisikika katika chuo kikuu cha Garissa mjini humo.

Maafisa wa usalama wa kenya walithibitisha kuwa watu wawili walifariki huku wa nne wakijeruhiwa.

Imeelezwa kuwa mpaka sasa Haijulikani ni nani aliyehusika na shambulizi hilo lakini washukiwa
wakiwa ni kundi la wapiganaji wa somali la Al-shabaab kufuatia kuhusika katika tukio kama hilo
lenye misururu ya mashambulizi mjini Garissa pamoja na maeneo mengine ya kenya tangu
mwaka 2011.

NEWS: SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI KENYA LAUWA WATU 2. NEWS: SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI KENYA LAUWA WATU 2.
Reviewed by Unknown on 22:53 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.