NEWS: MGOMO WA MADEREVA WALITIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM ...POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI ,WANANCHI NAO WASHIKA MAWE KUWAKABILI POLISI.
MGOMO WA MADEREVA WALITIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM ...POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI ,WANANCHI NAO WASHIKA MAWE KUWAKABILI POLISI.
Hali ilikuwa si shwari katika eneo la stendi ya ubungo jijini Dar es salaam baada ya wananchi kuamua
kuchoma matairi ya magari katika stendi hiyo jambo ambalo lili walazimu jeshi la polisi kutumia
mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi hao.
(TAZAMA PICHA)
NEWS: MGOMO WA MADEREVA WALITIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM ...POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI ,WANANCHI NAO WASHIKA MAWE KUWAKABILI POLISI.
Reviewed by Unknown
on
18:54
Rating:
No comments: