MAKABURI YAFUKULIWA NCHINI IRAQ.
Wataalamu wa kuchunguza maiti,wameanza kuyafukua upya makaburi zaidi ya 12 ya halaiki ,katika mji wa Tikrit nchini Iraq.
Hatua hiyo ilikuja siku kadhaa baada ya wapiganaji wa Islamic state kutimuliwa nje ya mji huo.
Makaburi hayo yaliyoaminika kuwa na zaidi ya maiti 1700 ya wanajeshi waislamu wa kishia waliouwawa vibaya mwezi juni mwaka jana na
wanamgambo wa "IS".
NEWS: MAKABURI YAFUKULIWA NCHINI IRAQ.
Reviewed by Unknown
on
05:32
Rating:
No comments: