PICHA: HALI YA MGOMO WA MADEREVA ILIVYOKUWA ENEO LA STENDI YA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.
Leo, Madereva wa Vyombo mbalimbali vya Usafiri na hasa Mabasi na yale yafanyayo safari za ndani ya miji (maarufu kama Daladala) wamegoma na kupelekea usumbufu mkubwa kwa wananchi waliokuwa na safari mbalimbali.
PICHA: HALI YA MGOMO WA MADEREVA ILIVYOKUWA ENEO LA STENDI YA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.
Reviewed by Unknown
on
18:48
Rating:
No comments: