NEWS: MGOMO WA MADEREVA: SERIKALI YAKUBALI KUFUTA AGIZO LA KUWATAKA MADEREVA KWENDA KUSOMA ILI KUMALIZA MGOMO.
MGOMO WA MADEREVA: SERIKALI YAKUBALI KUFUTA AGIZO LA KUWATAKA MADEREVA KWENDA KUSOMA ILI KUMALIZA MGOMO.
Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma
tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...
(KWA MATUKIO YANAYO JILI HAPA NCHINI USIKOSE KUTEMBELEA KAY-STALLION TZ KUJIPATIA TAARIFA ZILIZO NA UKAMILI KWA WAANDISHI NA MALIPOTA MAHILI)
NEWS: MGOMO WA MADEREVA: SERIKALI YAKUBALI KUFUTA AGIZO LA KUWATAKA MADEREVA KWENDA KUSOMA ILI KUMALIZA MGOMO.
Reviewed by Unknown
on
19:01
Rating:
No comments: